Jinsi ya kutengeneza hela za bure kwenye Michezo ya Kubahatisha.


Kupata bonasi ni njia pekee ya kutengeneza hela 100% bure kutoka michezo ya kubahatisha. Hii inatambulika sana miongoni mwa wabashiri tunaokuja na kiasi kidogo cha pesa kubashiri. Unaweza pata maelfu hasa pale unapojua jinsi ya kupata bonasi hasa pale kampuni inapozinduliwa.

Kwenye ukurasa huu, tutakupeleka kwenye jinsi ya kupata bonasi kwa kuanzia na kampuni zetu za ndani ili uweze kuelewa bonasi ni nini? Kisha tuendelee jinsi ya kutumia bonasi kwenye tovuti za kimataifa (pamoja na jinsi ya kijiunga kutoka kenya), na kuhakikisha hupotezi bonasi kwenye kubashiri.

Utangulizi: Bonasi ya kuweka na Ubashiri wa bure.

Kwanza, Bonasi ni nini? Kampuni nyingi za michezo ya kubahatisha huwapa bonasi wateja wapya ili kuwavutia kujisajili. Kawaida zipo aina mbili.

Unatafuta Kampuni nzuri ya kutumia? Tunapendekeza  Sportybet and 1xbet.co.ke. Tunashirikiana na kampuni zote mbili kukupa ofa kabambe leo,Kwanza, 1xbet ni mpya na bora kabisa hapa Kenya na wana ofa kedekede. Jisajili leo na upate 20000 bonasi ya kuweka pesa. Jiunge na 1xbet kwa kugusa link zetu maalumu kupata bonasi mbalimbali.

Sportybet ni miongoni mwa tovuti maarufu hapa Kenya na rahisi sana kutumia kwa kweli inakupa nafasi nzuri kubashiri mubashara na odds kubwa. Jisajili na Sportybet kupitia link zetu, weka  SH.300 na upate zawadi ya SH. 1000 papo hapo. Kama unapenda kubashiri bure angalia orodha ya bonasi hapa Kenya na ujikusanyie mpaka SH.150,000 bure za Kubashiri.

 

  • Bonasi ya Kuweka Pesa.

Hii ni aina ya bonasi wanayotoa Kampuni za Michezo ya Kubahatisha inaweza mpaka kufikia kiasi ulichoweka kwa mara ya kwanza.  Unaweza cheza kwa bonasi ila mara kadhaa ili uweze kutoa pesa. Hii inajulikana kama mahitaji ya mauzo.

Mahitaji mengine ni pamoja na kucheza kwenye odds fulani bila kushuka chini za odds izo ili kuweza kutoa Pesa.

Soma kwa makini ili kuelewa jinsi ya kutumia bonasi ya kuweka pesa.

  • Bashiri bure.

Kubashiri bure ni aina nyingine ya bonasi kwenye Michezo yz Kubahatisha. Kubashiri bure ni pale kampuni inapokupa kiasi cha kuweka ili ubashiri bure.

Mara nyingi wanakupangia mechi za kubashiri bure na wanakuruhusu kushinda endapo utapatia.

Hii bonasi mara nyingi utaipata ukiwa umejiunga na kampuni mpya ila kampuni za kimataifa ni kawaida kutoa bonasi ya kubashiri bure kwa njia tofauti tofauti.

 

Jinsi ya Kupata Bonasi kwenye Kampuni za ndani.

Ingawa kuna kampuni nyingi za Michezo ya Kubahatisha hapa Kenya ila Mchezo huu unakua kwa kasi na kampuni chache sana zinazotoa bonasi za kweli hivyo mtakupa njia rahisi na fupi ya kupata bonasi.

Bonasi ya kuweka pesa

Bonasi ya Kuweka pesa itakupa pesa nyingi kuliko bonasi ya kubashiri bure. Kampuni nyingi huwa zinatoa mara mbili ya kiasi ulichoweka mpaka kufikia Ksh.10,000/=. Hii ina maana kama ukiweka Sh.10,000 utapata mpaka Sh.20,000.

 

1xbet   ni kampuni pekee inayotoa 100% ya bonasi ya kuweka pesa mpaka kufikia Sh.10,000. Hii ina maana ukiweka Sh.10,000, utapata Sh.20,000. 1xbet unaweza tumia  MPESA na Airtel money kuweka pesa.

Jinsi ya Kupata bonasi ya kuweka Pesa kwenye 1xbet

  1. Jisajili na 1xbet kwa link hii this link.
  2. Thibitisha Akaunti yako.
  3. Weka kiasi chochote mpaka Sh.10,000.
  4. Watakupa mara mbili ya ulichoweka. Tunashauri weka  KSh.10,000 ili upate KSh.20,000/=.

 


Kwa sasa, kampuni nyingi zitakupa bonsai ambalo sio la kianzio ingawa watahitaji uweke pesa kidogo.
Hata hivyo, hii haimaanishi tuyaache kwani yanaweza kuwa chanzo cha kupata pesa ya kubashiri.
Sportybet Kenya
Sportybet  ni moja kati ya tovuti mpya za michezo ya kubahatisha hapa nchini. Hat hivyo ni moja ya tovuti nzuri za kutumia hapa nchini na yenye odds kubwa. Jisajili na Sportybet kupitia link na upate mpaka kshs 1000 taslimu kwenye kianzio.
Helabet Kenya
Pata kila siku Ksh 50 kubashiri bure kwenye Helabet pale unapoweka pesa kila siku. Pata kila siku  20% bonsai ya kuweka pesa kwenye Helabet kwa siku. Pata 100% bonsai kwenye Helabet kwa kuweka mpaka Ksh 40,000 kwenye  Helabet Kenya. Hii inamaanisha ukiweka KSH40,000 utapata KSH80,000 kubashiri kwenye Helabet. pia, utapata 20% bonsai ya salio la kwanza kila siku.
Powerbets Kenya
Pata  Ksh 200 kubashiri bure kwenye Powerbets. Pata Ksh 25  kubashiri kwa kumuunga rafiki kwenye powerbets. Pata 32% commission kuunga marafiki kwenye powerbets.Pata mpaka Ksh 10,000 bonasi kwenye Powerbets. 100% bonasi ya kuweka kila unapoweka pesa kwenye powerbets.
Sahara Games
Pata  ksh 50 kubashiri bure ukijiunga na Sahara Games.tembelea tovuti ya Sahara Games kujiunga.

Safaribets Kenya
Pata 120% bonasi pale unapo bashiri kwa mara ya kwanza kwenye Safaribets. Jisajili na Safaribets uweze kupata bonasi.
Eazibet
Eazibet  wana bonasi nyepesi mno kuipata. Eazibet wanakupa Sh.50 bure kama bonsai ya kuweka pesa kwa wateja wapya. Watakupa Sh.50 kubashiri bure pale unapoweka Zaidi ya  sh.150 kwenye tovuti yao kama kianzio. Soma Zaidi kuhusu bonsai kwenye Eazibet hapa.
Kwikbet
Hii nayo ni tovuti mpya ya Michezo ya Kubahatisha unaweza kubashiri kwenye michezo mbalimbali kama basketball, Cricket, darts, ice-hockey, and football of course. Pia wana bonsai la kuweka pesa na kuunganisha watu.
KWIKBET bonasi inapatikana kwa watumiaji wafuatao:
1. Bonasi ya kuweka pesa . weka  Kshs.200 Upate Kshs. 50 bonasi.
2. Bonasi ya kumuunga rafiki Kshs. 50 itatolewa kwa watumiaji wa KWIKBET watakaotuma  KUBALI#NAMBA YA RAFIKI kwenda 29020. Waliounganishwa wanatakiwa waweke pesa kwenye akaunti zao ndani ya saa 48 ili waliowaunga waweze kupata bonasi.
Bashiri bure
Kwanza, tuanze na tovuti zinazotoa ofa ya kubashiri bure ambayo ni rahisi kulikomboa wala haihitaji kuweka pesa.
________________________________________
Bashiri bure kwenye  Betpawa kwa kujiunga kupitia link zetu maalumu. Huitaji kuweka Pesa.
Betpawa Free Bet
Kukomboa ofa hii, gusa link maalumu za mwaliko ili uweze kubashiri bure. Betpawa  wanatoa ofa ya Sh.25 kiasi cha kubashiri mechi. Hata hivyo kuna wakati wanaongeza mpaka  Sh.75 na kama unaweza kubashiri vizuri unaweza kupata mara mbili au mara tatu kwa mara moja. Huitaji kuweka pesa.
Jinsi ya kubashiri bure kwenye Betpawa
Kwanza, jisajili kupitia link zetu ili uweze kubashiri bure. KIasi cha kubashiri bure hakilingani. Mara kwa mara huwa Sh.25, lakini mwisho wa Juma huongezeka mpaka  Sh.50 au Sh.75. Hakikisha unatumia link zetu kujiunga ili uweze kubashiri bure.

Chagua unaodhani watashinda mechi ulizopewa.
Umemaliza, sasa ingiza namba ya simu na neno la siri ili uwezeshwe kubashiri bure.

 

Facebook Comments

CONTACT US

We're not around right now. But you can send us an email and we'll get back to you, asap.

Sending

©2020 KLEO Template a premium and multipurpose theme from Seventh Queen

Log in with your credentials

Forgot your details?