Jinsi ya Kupata ksh.20000 1xbet Kenya bonasi ya kuweka Pesa

Kama unatafuta bonasi ya kuweka Pesa Kenya, hutapata bonasi nzuri kama ya 1xbet ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza.bonasi hii ni muhimu sana kwa kujaribia machaguo mbalimbali kwa mara ya kwanza. Hivyo 1xBet itakupa 200% ya kianzio utakachoweka kwa mara ya kwanza. Hii inamaanisha kama utaweka ksh.10000 watakupa ksh.20000 ya ziada hapo hapo.Kwa muongozo huu nitakuonyesha jinsi ya kupata bonasi papo hapo na matumizi mazuri ya hilo bonasi kupitia mkakati wa pro-betting.

Jinsi ya kupata bonasi la 1xBET

 1. Jisajili na 1xbet kwa kugusa link zetu maalum
 2. Hakikisha ume kamilisha usajili pale unapokuwa kwenye tovuti
 3. Weka pesa kwa kutumia namba ya malipo 290011 au 290027.
 4. Kupata kiwango kikubwa cha bonasi ya ksh.20000 tunashauri uweke pesa nyingi kama ksh.10000 kwa kiwango hicho utapata bonasi hiyo.
 5. Pale unapokamilisha utaratibu utapokea bonasi yako

Kwa sasa pro-bettors wanatumia njia inayojulikana kama Matched betting itakayo wahakikishia kupata ofa hiyo. Matched betting ni njia mpya inayomuezesha mchezaji kupata faida katika makampuni ya Michezo ya Kubahatisha hasa ubashiri wa bure na bonasi. Kampuni hizi zinatoa ofa nyingi sana kwa wachezaji kutokana na ushindani baina ya makampuni hayo. Jitihada zao hizo wamezielekeza kuwavutia wachezaji.

Makampuni kwa upande wao wanaweza kuongeza msukumo kwa njia ya ubashirii wa bure kupitia uchezaji makini wa bashiiri. Matched betting ni mbinu inayotafuta kuwasaidia wachezaji kubashiri kwa busara kwa kutumia ubashiri wa bure na bonasi badala ya kutumia pesa zao. Matched betting inalenga matumizi sahihi ya misukumo ya kubashiri inayotolewa na makampuni, kwa mfano kama betway wanatoa ofa ksh.100 kwa wachezaji wapya hivyo basi mchezaji anaweza kutumia matched betting kutengeneza faida kubwa.

Odds ndani ya soko la michezo ya kubahatisha zinawakilishwa kwa njia ya sehemu mfano 4/3 au njia ya desimali mafano 2.5 au mtindo wa Marekani mfano -30 au +30. Matched betting hutumika kwa ufanisi kwa kutumia njia ya desimali kwasababu ni rahisi kulinganisha odds kutoka tovuti tofauti za makampuni ya michezo ya kubahatisha. Ili wachezaji waweze kufanya hesabu za mapato wanahitajika tu kuzidisha kiwango walichoweka na odds zilizowekwa kwa mfumo wa desimali. Kwa mfano,ubashiri wa ksh 200 kwenye odds ya 3.5 inarudisha ksh 700 ambapo faida ni ksh 500. Sehemu muhimu ya matched betting ni kufuta hatari ya kupoteza kutoka katika bashiri, kwa kuhakikisha kwamba matokeo yoyote ya mechi haupati hasara.

Jinsi matched betting inavyofanya kazi

Matched betting inahusisha aina mbili za ubashiri, Ambazo ni back bet na lay bet. Back bet ni pale mchezaji anapo bashiri kutokea kwa tukio maalum. Kwa mfano, mchezaji anaweza bashiri Arsenal ashinde katika ligi ya mabingwa, Arsenal akishindwa mchezaji anapoteza bashiri, Arsenal akishinda mchezaji nae anashinda ubashiri. Back bets zinapatikana kwenye tovuti zote za ubashiri.

A lay bets ni pale mchezaji anapo bashiri kutokutokea kwa tukio maalum. Kwa mfano, mchezaji anaweza bashiri Arsenal asishinde katika ligi ya mabingwa au Arsenal asishinde dhidi ya Chelsea,

kama Chelsea akishinda – lay bet inashinda

kama Arsenal akishinda – Lay bet inapoteza

Kama wakitoka sare – Lay bet inashinda

Mchezaji anapo bashiri kupitia lay bet ni muhimu kuelewa namna viwango wanavyoweka vinavyohesabiwa, inabidi kuhakikisha kiwango kinachorudi kinazidi kiwango ulichoweka wakati wa ubashiri.

Kwa kuweka back bet na a lay bet juu ya Arsenal kuhusu ligi ya mabingwa kama ilivyoelezwa hapo juu, mchezaji atakua ameshughulikia matokeo ya pande zote katika mechi nzima hivyo atafurahia bila kupata hasara. Wachezaji wanaweza kutumia ubashiri wa bure kutoka katika tovuti za makampuni ya michezo ya kubahatisha katika match bet. Kwa njia hii, mfano mchezaji anaweza kutumia bashiri za bure kutoka Betway kuweka Back bet juu ya Arsenal kushinda ligi ya mabingwa na kutumia bashiri za bure kutoka bet365 kuweka lay bet juu ya Arsenal kushindwa katika ligi ya mabingwa. Wachezaji wanaweza kurudia mchakato huo huo na bashiri za bure ili kufaidi faida. Matched betting ni rahisi mchezaji yeyote anaweza kuwa nayo bila kujali uzoefu wao katika Kubashiri.

Faida za matched betting kwa wachezaji

 1. Matched betting haina hasara na wasihofu kupoteza.
 2. Wachezaji hawana uhitaji wa ulazima wa kufuatilia kwa makini jinsi mechi inavyoendelea hadi fedha zinapotoka kwa kuhofia kupoteza
 3. Wachezaji sio lazima kuhofia dhidi ya timu za upinzani.
 4. Ni rahisi kubashiri mechi.
 5. Wachezaji wanaongeza faida kupitia ubashiri.
 6. Matched betting wanaondoa vizuizi vya wachezaji kutoka makampuni ya michezo ya kubahatisha maana wachezaji wanafanya maamuzi yao wenyewe kwa kuweka lay bets na back bets.
 7. Wachezaji wanaweza kupata fedha bila jitihada za nguvu.
 8. Wachezaji wanaweza kutumia Ubashiri wa bure kwa busara kupitia match betting.

Facebook Comments

CONTACT US

We're not around right now. But you can send us an email and we'll get back to you, asap.

Sending

©2020 KLEO Template a premium and multipurpose theme from Seventh Queen

Log in with your credentials

Forgot your details?